Topic outline
MODA 1 MODAHARO
Uwezo mahususi wa mada
Kusikiliza kwa makini maoni ya washiriki wa midahalo na kutoa hoja kwa
kutetea au/na kupinga mawazo yaliyotolewa.
Malengo ya ujifunzaji:
-- Kutoa maana ya mdahalo
-- Kutaja sifa za mdahalo
-- Kuorodhesha hatua zifaazo kwa kufanya mdahalo
-- Kukumbuka taratibu za kufuata wakati wa kutoa hoja katika mdahalo
-- Kuchunguza kiini cha mada ya mdahalo
-- Kupanga vizuri hoja za kuzungumzia katika mdahalo
-- Kupinga maoni ya wazungumzaji kutoka upande mwingine katika mdahalo
-- Kuongoza mdahalo kwa kuzingatia taratibu za mdahalo
-- Kuonyesha tabia ya heshima wakati wa kujadiliana-- Kubaini na kuonyesha matumizi ya vivumishi vya majina ya ngeli ya U-ZI